Thursday, July 19, 2012

EXCLUSIVE PICTURES ZA MATUKIO YA KUZAMA KWA MELI STAR GATE MJI ZANZIBAR

PICHA ZA MATUKIO YA KUZAMA KWA MELI YA STAR GATE


Meli ya Star gate baada ya kupinduka na kuzama ikiwa na watu juu yake wakisubiri kudra ya Mungu kuokolewa!

Hawa wamenusurika kwa kutumia kifaa cha kujiokoa kilichokuwemo ndani ya meli hiyo

 Mmoja wa Majeruhi akipata huduma ya Kwanza baada ya kuokolewa akiwa katika bandari ya malindi
 Daktari akitowa huduma ya kwanza kwa mmoja wa majeruhi wa boti iliozama ikiktokea Dar-es-Salaam



 Majeruhi wa ajali ya Meli wakiwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja wakipata huduma baada ya kuokolewa.
 Majeruhi wakiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja


Watalii na raia wa kigeni pia walikuwemo katika meli iliyozama hawa ni baadhi ya waliosalimika

Abiria waliookolewa kutoka katika meli iliozama ya Star Gate katika bahari ya Chumbe Zanzibar 
Abiria aliyeokoka kutoka katika meli iliyozama
Abiria aliyookoka katika Meli iliozama ya Star Gate akifarijiwa na Jamaa zake baada ya kuteremka katika Meli iliowaokoa hapo bandar

Wednesday, July 18, 2012

EXCLUSIVE: HIZI NI SEHEMU YA MALI ZA MCHEZAJI EMMANUEL ADEBAYOR KWAO TOGO.

 HIZI NI SEHEMU YA MALI ZA MCHEZAJI EMMANUEL ADEBAYOR KWAO TOGO.

Mchezaji Adebayor akiwa na MTV VJ Vanessa Mdee aliekwenda kufanya nae interview nyumbani kwake.
Magari ya Adebayor nyumbani kwake,akiwa na Vanessa Mdee
.Vanessa akiwa na Adebayor ndani ya gari moja
Vanessa ambae pia ni mtangazaji wa 102.6 CHOICE FM Dar es salaam akiwa nje ya jumba la kifahari analomiliki Emmanuel Adebayor kwao Togo.


Picha zote hapo juu zimepigwa wakati MTV BASE wakiwa wanashoot show mpya inaitwa MTV Base meets with MTN itakayo Anza kuonueshwa MTV Base Agosti 1 2012! hakikisha unakaa mbele ya kioo chako hiyo siku kuchek vitu kama hivyo na ukienjoy pia ubunifu wa interview za Vanessa Mdee… ni bonge la show, ni time ya Africa!!!!!
Adebayor ni mchezaji maarufu kutoka Togo Africa lakini mwenye asili ya Nigeria ambae ameng’aa kwenye timu kama Manchester City, Real Madrid na Tottenham.

Monday, July 16, 2012



Newcastle United have completed the signing of Gael Bigirimana from Coventry City for an undisclosed fee. The 18-year-old midfielder has penned a five-year contract with Alan Pardew’s side after winning the Championship’s Apprentice of the Year award last term. Newcastle have confirmed Bigirimana, who made 28 appearances for Coventry City last season, will join the Newcastle,i think is first soccer player from East Africa to join Premier League.Bigirimana he was born in Burundi (Bujumbura) on 22 october 1993.We wish all the Best may God bless you.

Wednesday, July 4, 2012

ORODHA YA MATCH ZA CECAFA KAGAME CUP 2012.

By K.Sivle
Posted on 04 Jul 2012 at 03:04pm

Kundi A: Simba SC (Tanzanie), URA FC (Ouganda), AS VITA CLUB (RDC), PORTS (Djibouti)
Kundi B: Azam FC (Tanzanie), Mafunzo FC (Zanzibar), Tusker FC (Kenya)
Kundi C: Young Africa (Tanzania), APR FC (Rwanda), WAU SALAAM (Sud
Soudan), Athletico Olympique (Burundi)

Horodha ya match za duru ya 1 :
Tarehe Teams Sehemu Saa Kundi

14/07/2012 APR FC Vs WAU SALAAM (DAR ES SALAAM )2 PM C
14/07/2012 YANGA Vs ATHLETICO (DAR ES SALAAM )4 PM C
15/07/2012 AZAM Vs MAFUNZO (CHIMANZI) 2 PM B
16/07/2012 VITA CLUB Vs PORTS (DAR ES SALAAM )2 PM A
16/07/2012 SIMBA Vs URA (DAR ES SALAAM) 4 PM A
17/07/2012 ATHLETICO Vs APR (DAR ES SALAAM) 2 PM C
17/07/2012 WAU SALAAM Vs YANGA (DAR ES SALAAM) 4 PM C
18/07/2012 VITA CLUB Vs URA (DAR ES SALAAM) 2 PM A
18/07/2012 PORTS Vs SIMBA (DAR ES SALAAM) 4 PM C
19/07/2012 ATHLETICO Vs WAU SALAM (DAR ES SALAAM) 2 PM C
19/07/2012 MAFUNZO Vs TUSKER (DAR ES SALAAM) 4 PM B
20/07/2012 PORTS Vs URA (DAR ES SALAAM) 2 PM A
20/07/2012 YANGA Vs APR (DAR ES SALAAM) 4 PM C
21/07/2012 AZAM Vs TUSKER (TBD) 2 PM B
21/07/2012 SIMBA Vs VITA CLUB (TBD) 4 PM A

BET AWARD 2012 WINNERS

KANYE WEST, JAY – Z, BIG SEAN CHRISS BRIZZ WATISHA B.E.T 2012.


.
Usiku wa Jumapili iliyopita Big Sean aliperform kwenye tuzo za B.E.T na Kanye west 2 Chainz na Pusha T. Alipata tunzo ya Best New Artist, Jay – z na Kanye West wakachukua tunzo ya Video of the year “Ortis” Diggy Simmons alichukua tunzo ya Younstar Award, Chriss Brown alichukua tunzo ya “Best Male R&B Artist Msanii mburudishaji wa mwaka. Beyonce alishinda tuzo ya Video Director wa mwaka akiwa na Alan Ferguson na ngoma ya “Party” na Best Female R&B Artist wakati Wale na Miguel wakashinda tuzo ya “Lotus Flower Bomb”  na Nick Minaj alishinda kama Best Female Hip-Hop Artist.
Kama vipi check list nzima chini :-

Centric Award
Common
Younstars Award
Diggy
Best Group
The Throne (Jay-Z and Kanye West)
Best Actor
Kevin Hart, "Think Like a Man"
Best New Artist
Big Sean
Best Male R&B Artist
Chris Brown
Best Collaboration
Wale (featuring Miguel), "Lotus Flower Bomb"
Best Gospel
Yolanda Adams
Best Female R&B Artist
Beyoncé
Best Female Hip-Hop Artist
Nicki Minaj
Lifetime Achievement Award
Maze, featuring Frankie Beverly
Video of the Year
The Throne (Jay-Z and Kanye West), featuring Otis Redding, "Otis"
Humanitarian Award
The Reverend Al Sharpton
Viewers' Choice Award
Mindless Behavior
Video Director of the Year
Beyoncé and Alan Ferguson
Entertainer of the Year
Chris Brown

Tuesday, July 3, 2012

BURUNDI,TANZANIA,OUGANDA,KENYA,DRC.ON ONE STAGE

BURUNDI FESTIVAL inakuja kuvunja rekodi ya Tamasha zote ziliwahi kuandaliwa Burundi…

By K.Sivle
Posted on 03 Jul 2012 at 03:43pm

Ni fikra ya vijana wenye nguvu,wenye busara,wenye ujasiri wa hali ya juu,vijana hao walikaa chini na wakafikiriya tufanye nini ili kuonyesha kuwa nasisi twaweza kuanda tamasha babu kubwa lakimatifa litakalo kusanya wakali wa mziki kwenye kanda nzima ya East Africa na DRC.Hivo basi vijana hao niya yao kubwa niku unganisha jamii hiyi ya Warundi,kufunguwa milango kuwaimbaji warundi kuwaonyesha kuwa na wawo wawaweza kupambana na vigogo wa hali ya juu.Tulipo hojiana na LANDRY MUGISHA,anaejihusisha na mpango wakupasha habari kwenye alitwambiya:”Tuko tunaanda mambo makubwa sana,nafkiri kila Mrundi mahali alipo itambidi ajifkiye kwenye uwanja wa EFI kuanziya tarehe 5/July/2012 ajipatiye uhondo tosha,tumewaandaliya mambo makubwa ambayo yameandaliwa kikubwa siyo siri kwani tumewakusanya vigogo wa mziki kwenye kanda ya E.A.C na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo,DRC.Majina yaliyo jipatiya na fasi nzuri ni pamoja na:
-Rwanda:Tom Close na Dr Claude.
-Kenya:Jaguar/kigeu geu
-Ouganda:Redio & Weasle na Michael Ross
-Tanzania:Diamond bado wangali wanazungumza ili wasaini mkataba.
-Burundi:Sat b,Mkomboz,Emery Sun,Indimu,Peace & Love,Mr Happy,R flow,Black g,Lolilo,Generencha
Bidondo,Rallye joe ambae yupo Kenya wangali wanaongeya kuhusu mkataba.
Wasaani wa Gospel kama:Dudu,GMP na David.

Vi ingilio itakuwa ni tofauti,sarafu za Burundi 2000 tarehe 5/July,tarehe 6 na 8/July ni 3000,na jukwaa la heshma itakuwa ni pesa 10000(VIP).Uwanja wenyewe utakuwa wazi kuanziya saa mbili asubuhi,na tamasha kamili zitakuwa zikianza mida ya saa nane(14h).
Fahamu vile vile ya kwamba walikuwa walipendekeza hata waimbaji tofauti kutokeya ila haikuwezekana tukizungumziya kama FALLY IPUPA ambaye atakuwa na Tamasha nchini TOGO,FARIOUS BIG/YOYA/T MAX/AFRICA NOVA… ambao wao walichukulikuwa mapema na Tamasha ya Diasporaitakayo fanyika nchini Ubelgigi ifikapo hapo tarehe 7/July.Habari ndo hiyo…