Tuesday, July 3, 2012

BURUNDI,TANZANIA,OUGANDA,KENYA,DRC.ON ONE STAGE

BURUNDI FESTIVAL inakuja kuvunja rekodi ya Tamasha zote ziliwahi kuandaliwa Burundi…

By K.Sivle
Posted on 03 Jul 2012 at 03:43pm

Ni fikra ya vijana wenye nguvu,wenye busara,wenye ujasiri wa hali ya juu,vijana hao walikaa chini na wakafikiriya tufanye nini ili kuonyesha kuwa nasisi twaweza kuanda tamasha babu kubwa lakimatifa litakalo kusanya wakali wa mziki kwenye kanda nzima ya East Africa na DRC.Hivo basi vijana hao niya yao kubwa niku unganisha jamii hiyi ya Warundi,kufunguwa milango kuwaimbaji warundi kuwaonyesha kuwa na wawo wawaweza kupambana na vigogo wa hali ya juu.Tulipo hojiana na LANDRY MUGISHA,anaejihusisha na mpango wakupasha habari kwenye alitwambiya:”Tuko tunaanda mambo makubwa sana,nafkiri kila Mrundi mahali alipo itambidi ajifkiye kwenye uwanja wa EFI kuanziya tarehe 5/July/2012 ajipatiye uhondo tosha,tumewaandaliya mambo makubwa ambayo yameandaliwa kikubwa siyo siri kwani tumewakusanya vigogo wa mziki kwenye kanda ya E.A.C na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo,DRC.Majina yaliyo jipatiya na fasi nzuri ni pamoja na:
-Rwanda:Tom Close na Dr Claude.
-Kenya:Jaguar/kigeu geu
-Ouganda:Redio & Weasle na Michael Ross
-Tanzania:Diamond bado wangali wanazungumza ili wasaini mkataba.
-Burundi:Sat b,Mkomboz,Emery Sun,Indimu,Peace & Love,Mr Happy,R flow,Black g,Lolilo,Generencha
Bidondo,Rallye joe ambae yupo Kenya wangali wanaongeya kuhusu mkataba.
Wasaani wa Gospel kama:Dudu,GMP na David.

Vi ingilio itakuwa ni tofauti,sarafu za Burundi 2000 tarehe 5/July,tarehe 6 na 8/July ni 3000,na jukwaa la heshma itakuwa ni pesa 10000(VIP).Uwanja wenyewe utakuwa wazi kuanziya saa mbili asubuhi,na tamasha kamili zitakuwa zikianza mida ya saa nane(14h).
Fahamu vile vile ya kwamba walikuwa walipendekeza hata waimbaji tofauti kutokeya ila haikuwezekana tukizungumziya kama FALLY IPUPA ambaye atakuwa na Tamasha nchini TOGO,FARIOUS BIG/YOYA/T MAX/AFRICA NOVA… ambao wao walichukulikuwa mapema na Tamasha ya Diasporaitakayo fanyika nchini Ubelgigi ifikapo hapo tarehe 7/July.Habari ndo hiyo…

No comments:

Post a Comment