Friday, March 30, 2012

DJ Fetty: BIRDMAN KUACHA KUFANYA MUZIKI LIL WAYNE ATAKAPOACH...

DJ Fetty: BIRDMAN KUACHA KUFANYA MUZIKI LIL WAYNE ATAKAPOACH...:

Mkali kutoka kampuni ya YMCMB Cash Money Records 
na Co-founder wa kampuni hiyo mtu mzima Birdman kuacha
 muziki pale ambapo na lil wayne ataacha muziki, akipiga 
story na complex magazine Birdman alisema ..

 “Kitu kimoja
 kuhusu mwangu ni kwamba anachokisema anakimaanisha 
Lil wayne akiacha muziki na mimi naacha kufanya muziki
 kwa sababu kutakua hakuna haja tena ya kufanya muziki 
atatupeleka tunapotaka kwenda, Wayne akiacha muziki naacha pia”
Vutu vingine alivyoongelea katika interview hiyo ni pamoja 
na kufanya kazi na The Game na Rick Ross anawakubali sana
 atapenda sana wakisaini na Cash Money Records kupiga kazi. 
Alisema “ Ingawa Game amesaini na Interscope itakua kuna 
album anafanya lakini time ikifika ntapenda nisaini nae ndani ya 
YMCMB na navutiwa sana na anachokifanya Rozay ndani ya
 Maybach Music Group lakini sio kali sana inapokuja kufanya
na Kanye West kutoka G.O.O.D Music.”

Aliongeza “ wanafanya wanachokifanya sana lakini nadhani 
  Khaled na Rozay wanafanya fresh kidogo” Alisema Biird man.

No comments:

Post a Comment