Wednesday, April 25, 2012


Baada ya kuumiza watu vichwa kwa muda mrefu hatimaye hiki ndicho alichokiandika DIAMOND kwenye BlackBerry Messenger ambapo kwa idhini yake mwenyewe millardayo.com ilimwambia itaitumia.... 

Kulikua na stori kibao mtaani kwamba DIAMOND PLATNUMS yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na mrembo JOKATE lakini bado ilikua haijathibitika, sasa hivi ndio kaamua kuweka wazi na habari ndo hiyooooooo. Tunawataki akila la heri wapendanao hawa.

Habari hii ni kwa hisani ya
 

Sunday, April 15, 2012

KWAMARA NYENGINE TENA DIAMOND AFUNIKA NA KUSHINDA TUZO TATU KWENYE KILI MUSIC AWARD 2012...!!!

 
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya (Bongofleva) Nassib Abdul a.k.a Diamond ameng’ara kwenye tuzo za Kilimanjaro Music Award 2012, baada ya kujinyakulia tuzo tatu.“Namshukuru Mungu, wakati mwingine uvumilivu na subira ni mzuri. Mwaka jana sikupata tuzo, nikamshukuru Mungu, nikaongeza bidii, nikafanya kazi nzuri, leo nimeibuka  na tuzo tatu”,alisema.Tuzo hizo ni ( Mtunzi Bora wa nyimbo,tuzo ya video bora ya Mwaka –moyo wangu na tuzo ya Mtumbuizaji bora wa kiume.
 Mwanamuziki Diamond (kulia)akipokea tuzo yake kutoka kwa George Kavishe meneja wa bia ya Kilimanjaro mara baada ya kutangazwa mshindi wa utunzi bora wa nyimbo katika hafla ya kukabidhi tuzo kwa wanamuziki bora  Kilimanjaro Music Award 2012 zinazofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam na kuhudhuria na waalikwa mbalimbali pamoja na wadau wa muziki kutoka ndani ya Tanzania  na nje ya nchi.
Muigizaji/mchekeshaji Mahiri wa kikundi cha Vuvuzela Entertainment,Evans Bukuku akimkabidhi tuzo yake msanii Diamond,ya video bora ya mwaka.

Mkali wa hip hop Tanzania,Chid Benz akimkabidhi tuzo nyingine msanii Diamond ya mtumbuizaji bora wa kiume.
Mama yake Diamond na Professor Jay wakishangilia ushindi wa Diamond
---
Mwimbaji Nyota wa Bongo Fleva Nassib Abdul a.k.a Diamond usiku wa Aprili 14,2012 ameibuka kidedea baada ya kujinyakulia tuzo tatu katika tamasha la Utoaji Tuzo za Kili Music Award 2012.

Diamond ambaye mwaka 2010 aliibuka pia kidedea kwa kuzoa tuzo nyingi na mwaka 2011 kumpa nafasi 20% kwa kuzoa tuzo nyingi mwaka huu amenyakua tuzo ya MTUNZI BORA WA MWAKA, MTUMBWIZAJI BORA WA KIUME na Video yake ya Mawazo ikinyakua tuzo ya VIDEO BORA YA MWAKA.

Mbali na Diamond aliyebahatika kunyakua Tuzo mbili katika tuzo hizo ni msanii mwingine wa Bongo Fleva Suma Lee aliyenyakua tuzo za WIMBO BORA WA AFRO POP ambao alipata kupitia wimbo wa HAKUNAGA na Tuzo ya pili ni ya WIMBO BORA WA MWAKA.
Ambao pia ni HAKUNAGA.

Aidha msanii Chiopukizi wa Bongo Fleva, Omy Dimpoz nae ametamba baada ya kunyakua tuzo ya WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHWA wa  NAI NAI aliomshirikisha ALI KIBA na pia alitwaa tuzo ya MSANII BORA ANAECHIPUKIA kupitia wimbo wake huo huo wa NAI NAI.

Nae Roma Mkatoliki a.k.a Mpare wa milimani alikuwa katika kundi hilo la wasanii wenye tuzo mbili baada ya kupata tuzo ya WIMBO BORA WA HIP HOP wa  MATHEMATICS na Tuzo ya MSANII BORA WA HIP HOP.

Wasanii na Vikundi vingine ambavyo vilijinyakulia tuzo ni pamoja na  WIMBO BORA WA RAGGAE Ulikuwa ni ARUSHA GOLD wa kundi la WARRIORS FROM EAST huku Tuzo ya WIMBO BORA WA DANCE HALL ukiwa ni MANENO MANENO wa QUEEN DARLIN.

Tuzo ya WIMBO BORA WA ZOUK RHUMBA alienda kwa Ali Kiba kupitia wimbo wake maarufu wa DUSHELELE , Tuzo ya WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA KIASILI ilikwenda kwa A.T kwa kibao cha VIFUU UTUNDU.

Tunzo nyingine ilikuwa ni ya  WIMBO BORA WA TAARABU aliyonyakua mwana dada wa kikurya anaeimba Taarabu Aisha Mashauzi kupitia wimbo wa NANI KAMA MAMA wa kundi lake la Mashauzi Classic.

Kundi la Twanga Pepeta nalo lilijinyakulia Tuzo ya WIMBO BORA WA KISWAHILI kupitia wimbo wa DUNIA DARAJA huku Tuzo ya WIMBO BORA WA R&B.
Ikienda kwa Ben Paul kwa wimbo wa NUMBER ONE FAN.

Tuzo nyingine katika mfululizo huo wa Kili Music Award 2012 ilikwenda kwakalijo Kitokololo aliyepata Tuzo ya RAPA BORA WA BAND ambapo Tuzo ya WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI ilienda kwa Wimbo wa KIGEUGEU uliyoimbwa nae JAGUAR.

Tuzo zingine ni za MTUMBWIZAJI BORA WA KIKE iliyoenda kwa KHADIJA KOPA, tuzo ya  MTAYARISHAJI BORA WA MAPIGO YA MUZIKI ilienda kwa MANEKE.

Tuzo ya HALL OF FAME ilienda kwa TAASISI JKT, Tuzo ya HALL OF FAME KWA MTU BINAFSI ilienda kwa Mtu mzima KING KIKII na HALL OF FAME KWA MTU BINAFSI Ilinyakuliwa na Hayati REMMY ONGALA.

Mkonngwe wa uimbaji wa nyimbo za Kibongo Judith Wambura Habash “Lady Jay Dee alinyakua tuzo ya ya MWIMBAJI BORA WA KIKE huku kijana aliyeshika kasi kutoka kundi la THT Barnaba akifunga jahazi hilo kwa kunyakua tuzo ya MWIMBAJI BORA WA KIUME.

PICS FROM MLIMANI CITY (TZ) @ THE KILI MUSIC AWARDS 2012...!!!

Mc's wa KTMA2012 Vanessa Mdee & Millard Ayo on point
Halima, Myler & Shamim aka Zeze
Warembo wakiwakilisha
Mpoki akifanya vitu vyake
Swagga za Bibi Cheka ndani ya Red Carpet KTMA2012
Ukumbi umependeza sana
Manyemazzzzzz Diamond & Ommy Dimpoz
Diamond, Mshikaji wake na Mama yake 
Mzee Yusuf busy na interview
President wa wasafi aka Diamond Platinumz 
EATV wapo
Qwhisar producer wa kipindi cha Step Up Player akihojiwa
Interview ikiendlea
Watu kwenye Red Carpet



Millardayo Mtangazaji wa Cloudsfm
Muwakilishi wa kundi la Arusha Gold akipokea tuzo ya Wimbo bora wa Ragga,kutoka kwa mwanadada Khadija Mwanamboka.
 Mshindi wa tuzo ya Wimbo Bora wa Zouk Rhumba,Ali Kibaa akikabidhiwa tuzo yake na Mwanadada Dina Marios wa Clouds Fm na Mkongwe Rainfred Masako wa ITV.
Alikiba na tuzo yake
Mze majuto na Sharo Millionaire
Ommy D akizawadiwa na Mze Majuto Tuzo yake
President wa wasafi Diamond na Ommy D akichukua tuzo yake ya muimbaji up coming




Roma akipanda kuchukua tuzo yake

 Queen Darlin mshindi wa Tuzo ya Dancehall Queen

Wasanii wa Muziki wa Ragga kutoka jijini Arusha wafahamikao kwa jina la Arusha Gold wakitoa shukrani kwa wadau wao waliowapigia kura mpaka kupata ushindi huo



Izzo Business akishanga!!!
Makamuzi yakiendelea
Vijana wa THT wakitoa Burudani

UK BY NIGHT PHOTOGRAPHED BY JASON HAWKES...!!!

 Piccadilly Circus-Circus in London.
 An aerial view of St Mary’s Ex 30, or cucumber and the London Lloyd
  Photos of almost unfinished skyscraper «Shard London Bridge» and the River Thames.
  In cities such as Birmingham majestic old buildings with modern borders, shopping center “Selfridge”. Night view from the air shop “Selfridge”, built by «Future Systems», and bordering the shopping center “Bullring” in Birmingham.
 “This is authors favorite shot – the people in the pool taking Bath on the roof, England. He said: I really like the colors, and thanks to people who well understood the scale of pictures, “. View of the bath complex «Thermae Bath Spa», which was opened after the restoration in 2006.
 The River Clyde and the center of the city of Glasgow.
 The steamer “Great Britain”, built by the Kingdom Brunel Izambardom, stands in the dock in Bristol.
 An aerial view of the museum complex Reversayd night in Glasgow – Museum of Transport and Tourism in Scotland, sailboat Glinli. Picture by : Jason Hawkes / Barcroft Media
 Platform for mini-football at Union Street, Manchester.
 National Sports Center «Bisham Abbey» near Marlow in Buckinghamshire.
 An aerial view of George Square in Glasgow.
  Ferris wheel at Bristol.
 Gallery of Modern Art on the Royal Exchange Square.
Night view of Queen Square area of ​​Bristol.
 Shopping center «Bullring» Birmingham in the night.
Night view of the railway station «Clapham Junction» in London.
Night view from the air space of Oxford Circus.
Railway Station «Piccadilly»
 Cars on the motorway the M8 in Glasgow.
 Aerial view of motorway M62 and M60 in Manchester.
 An aerial view of the railway station «Temple Meads» in Bristol.
Jason Said ”I love to shoot at night,”  ”After the twilight of the city, as it was beginning to live, and often even the most mundane places may look unrealistic. Over the past ten years, public lighting technology is very advanced. With the lighting of the city, it become more photogenic and lively. ” View of the center of London at night.