SO SAD !!!!!! TRUE STORY
Amvalisha mpenzi wake pete ya ndoa akiwa amefariki so sad!!!!!!!
- Posted by Karim sivleNi Story ambayo ki ukweli itakugusa katika uhalisia wa maisha ya Binadamu yoyote yule...Huku Thailand kulikua kuna wapenzi walopendana wakashibana mpaka kufikia kuamua kufunga pingu za maisha ni mkaka mwenye miaka 28 aitwae Chadil Deffy na marehemu mpenzi wake aliejulikana kama Sarinya Kamsook mwenye miaka 29 walipanga kufunga ndoa mwaka huu kwasababu ya kua waliweza kudumu kwenye uhusiano wao wa kimapenzi kwa muda mrefu sasa kwa bahati mbaya Sarinya Kamsook akapata ajali mbaya ya gari na kwa uzembe wa madaktari mwanadada huyo akafariki dunia kitendo ambacho kilimuuzunisha sana Chadil Deffy ambae ni mpenzi wake kwakua ilikua imebaki siku chache tuu wapendanao hao wafunge ndoa....sasa kwavile wanasema mapenzi ya kweli hayafi kwamwe basi Chadil Deffy alitimiza ahadi yake kwa mpenzi wake kwa kumvisha pete ya ndoa huku akiwa msibani yaani huku akiwa amefariki ni kitendo kiliostaajabisha watu wengi duniani na hakijawahi kutokea kamwe.....Na hayo ndio mapenzi ya kweliii
No comments:
Post a Comment