Thursday, June 28, 2012

DAIMOND, MSANII MCHAPAKAZI NAMBA MOJA TANZANIA

NANI CHAPAKAZAI KATIKA MZIKI WAKE AKA HARD WORKER?

Msanii Abdul Naseeb a.k.a DIAMOND ndio ameibuka kuwa msanii chapakazi katika kazi zake za mziki (hardworking). kupitia zoezi lililoanza kupitia facebook baada ya kuuliza fans mchapakazi ni nani, Dj Fetty aliibuka na majina 10 yaliyokua na kur anyingi na baadae kuyweka kupitia blog hii kwa siku sita mfululizo ukipiga kura yako baada ya kupiga kura zako.
Diamond amewaacha nyuma AY na FID Q kwa kupata kura 167, akifatiwa na AY kura 137 na watatu akiwa ni FID Q na kura 91 huku ALIKIBA akishika nafasi na nne na kura 59 na tano ni LADY JAY DEE na kura 51







No comments:

Post a Comment