Tuesday, June 26, 2012

SIJAWAHI KUMUONA DBANJ AKIPERFORM LIVE HIVI TOKA AJIUNGE NA KANYE WEST.

Hii video ni ya D’banj akiwa anaperform on the 1Xtra Stage at Radio 1′s Hackney London U.K weekend iliyopita, chek mapokezi ya mashabiki, chek alivyojipanga kwenye show.
Single ya Oliver Twist iliyopanda mpaka nafasi za juu kwenye chart ya U.K imeshuka wiki hii na kushika namba 25 kutoka 22 wiki iliyopita ikiwa ni wiki ya sita kwenye chart.

No comments:

Post a Comment