Friday, March 30, 2012

NEW HOT VIDEO FOR D'BANJ



Hii ndio video ya single mpya ya Mnigeria D’Banj ambae sasa yuko chini ya rapper Kanye West, track inaitwa Oliver Twist, single ambayo wataalamu wa muziki wameweka imani kwamba ndani ya siku chache zijazo itakua ni wimbo mkubwa sana kwenye nafsi za watu, kutokana na ukali na urahisi wake wa kushikika, ndio video ya kwanza ya D’Banj ambayo aliekua boss wake Mnigeria Don Jazzy hajaonekana baada ya kuacha kufanya kazi pamoj

No comments:

Post a Comment