Monday, April 2, 2012

SHOW YA DIAMONDS ARE FOREVER YAFUNIKA VIIBAYA VIBAYA MNOOOOO.

DJ Bulla mtamboni akihakikisha show ya Diamond inakwenda sawa kabisa. 




Huyu jamaa bwana ni bonge la design wa mavazi, nguo unazoona alizovaa Diamond na wakina Barnaba, Ommy Dimpozi na Amini huyu ndio aliyechora mpango mzima utakavyokuwa. Anaitwa Martin Kadinda 

Anaitwa Esi yeye alikuwa akishughulika na usafi wa Diamond na kuonekana kwa steji kweli kamweka sawa raisi wa Wasafi

http://djchoka.blogspot.com/2012/03/diamonds-are-forever-red-carpet-mlimani.html

Hapa ndipo palipokuwa sehemu ya wageni wote kupiga picha kabla yakuingia ukumbini, nimependa mwonekano ulivyokuwa umekaa, big up kwa waandaaji. 

 Diamond, Mama mzazi wa Diamond & Queen Darling

No comments:

Post a Comment