Thursday, June 28, 2012

Amazon -Checherumba (Official Video)

DAIMOND, MSANII MCHAPAKAZI NAMBA MOJA TANZANIA

NANI CHAPAKAZAI KATIKA MZIKI WAKE AKA HARD WORKER?

Msanii Abdul Naseeb a.k.a DIAMOND ndio ameibuka kuwa msanii chapakazi katika kazi zake za mziki (hardworking). kupitia zoezi lililoanza kupitia facebook baada ya kuuliza fans mchapakazi ni nani, Dj Fetty aliibuka na majina 10 yaliyokua na kur anyingi na baadae kuyweka kupitia blog hii kwa siku sita mfululizo ukipiga kura yako baada ya kupiga kura zako.
Diamond amewaacha nyuma AY na FID Q kwa kupata kura 167, akifatiwa na AY kura 137 na watatu akiwa ni FID Q na kura 91 huku ALIKIBA akishika nafasi na nne na kura 59 na tano ni LADY JAY DEE na kura 51







Tuesday, June 26, 2012

BREAKING NEWS: Rapper 50 Cent Was In A DEVASTATING Car Crash This Morning . . . Suffers A 'SEVERE' Neck Injury!! (Pics)

Rapper 5ocent alipata ajali jana Night kali maeneo ya Qweens New York city baada ya kutoka kwenye interview Power 92.3 .


: karimsivle.blogspot.com just learned that 50 Cent was in a bad accident last night. According to his website Thisis50.com, his bullet-proof SUV was rear-ended by a Mack truck on the Long Island Expressway (a highway in New York City).
He was put on a stretcher and taken to the nearest Queens hospital where they are currently running test on his neck and back.
His driver is also currently in the hospital as the SUV almost flipped over.
Photos: courtesy Thisis50.com


Hii Ni baada ya kufanya Interview Ndefu ambayo ali diss album ya mwisho ya Puff Daddy ilikuwa Garbage na hana beef na The Game ,all is peace na Dj Who-kid. 

LIST OF NEW ALBUM FOR TREY SONGZ 2012

List Ya Nyimbo Zitakazo Kuwepo Kwenye Album Ya Trey Songz Na Cover La Album
Hii ni album ya 5 ya Trey Songz msaani anayependwa na ma baby mama dunia nzima , itaitwa Chapter V na itakuwa sokoni na available for download tarehe 21 August 2012. Wasaani kama T.I ,Lil Wayne , J Cole ,Kelly Rowland ,Big Sean, wameshirikishwa .


1. “Chapter V” (Intro)
2. “Dive In”
3. “Panty Wetter” (Interlude)
4. “Heart Attack”
5. “2 Reasons” feat. T.I.
6. “Go Hard”
7. “Don’t Be Scared”
8. “Pretty Girl’s Life”
9. “Bad Decisions”
10. “Playin’ Hard”
11. “Forever Yours”
12. “Inside Enterlude” (Interlude)
13. “Fumble”
14. “Without a Woman”
15. “Interlude 4 U” (Interlude)
16. “Simply Amazing”
17. “Ladies Go Wild”
18. “Check Me Out”
19. “Turn On” (Bonus Track)
20. “Almost Lose It” (Bonus Track)

KAMA UNAMPENDA TREY SONGS, HIZI NI HALALI YAKO!! STEJ MOJA NA D'BANJ


Trey Songz this weekend alionekana kwenye stage ya show ya BBC Radio 1 U.K ambapo aliimba live single zake za ‘Can’t Be Friends’ and ‘Heart Attack’.

SIJAWAHI KUMUONA DBANJ AKIPERFORM LIVE HIVI TOKA AJIUNGE NA KANYE WEST.

Hii video ni ya D’banj akiwa anaperform on the 1Xtra Stage at Radio 1′s Hackney London U.K weekend iliyopita, chek mapokezi ya mashabiki, chek alivyojipanga kwenye show.
Single ya Oliver Twist iliyopanda mpaka nafasi za juu kwenye chart ya U.K imeshuka wiki hii na kushika namba 25 kutoka 22 wiki iliyopita ikiwa ni wiki ya sita kwenye chart.

Saturday, June 16, 2012

CHELSEA KUSAJILI MKENYA!!!

Chelsea imetwajwa kuwa inaongoza foleni ya timu zinazofukuzia kumsajili mwana kandanda Victor Wanyama anatokea nchini Kenya .Mwanasoka huyo anaekipiga katika timu ya Celtic ya Scotland kwa mujibu wa msemaji wake ambae pia ni (Agent) wake , inasemekana anatafuta timu mpya ya kuchezea kwa ajili ya msimu ujao wa ligi.


Kocha wa Chelsea  RDM ambaye amekabidhiwa usukani rasmi siku kadhaa zilizopita wiki hii  kwa mkataba wa miaka miwili, anadaiwa kusaka kiungo mwenye nguvu na ujuzi wa kuiendesha timu pale kati na Victor anaonekana ni mmoja kati ya wanaofikiriwa kuja kuziba pengo la Essien anaeonekana kupungua kwa kiwango chake cha uchezaji tangu arudi uwanjani na huku rekodi yake ya kuumia umia kila mara ikiongezeka.

Agent wa mchezaji huyo bwana Rob Moore amedai mteja wake ana nia ya kucheza katika ligi kuu ya Uingereza na hatosita kama nafasi ikitoke haraka na yupo tayari hata sasa!
Habari za kuwepo sokoni kwa kiungo huyo kutoka Kenya mwenye umri wa miaka 20, zimefanya clu nyingi zinazoshiriki ligi kuu ya uingereza kufuatilia kwa ukaribu maendeleo na upatikanaji wa mchezaji huyo huku club kama Liverpool,QPR, Newcastle,West Ham na Stoke City  pia zikitajwa.

Victor Wanyama alinunuliwa mwaka jana na Celtic kutoka timu moja inayojulika kwa jina la  Beerschot   ya nchini Belgium kwa ada ya pound 900,000 (laki tisa) na kufanikiwa kufanya vizuri katika msimu ulipita kwenye ligi ya Scotland, ameshawataarifu timu yake hiyo kuwa ikitokea nafasi ya yeye kutaka kunuliwa na club inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza  wasimbanie kwani yupo tayari kwa hilo.


Ikiwa hili litawezekana basi itakua habarinjema kwa Kenya na Africa mashariki kwa ujumla, hatimae milango ya bahati  na kuangaliwa kwa wachezaji wetu wa soka itafunguka!nadhani si mbali sana kuanzia sasa tutashuhudia wachezaji wetu ndani ya premiership hili linawezekana, tunamtakia kila la kheri Victor Wanyama na kumuombea kufanikisha hilo!

Friday, June 15, 2012

NEW SONG BY AY ft MARCO CHALI

ITS 50 CENTS feat WAYNE ROONEY & THEY MEAN BUSSINESS!!

RAPPER 50 Cent wants to go into business with Wayne Rooney.

The Hollywood blingster believes he and the Manchester United ace could make £1billion together with a restaurant chain and a clothing empire.


Fiddy, 36, told us: “I’m a big fan of Wayne Rooney, he’s a brand. I want to become business partners with him.


“European soccer is a big business and there’s money to be made with top players.


“I’ve met Wayne and he’s a great guy. He’s one of the top soccer players in the world and has a lot of years left in his career.”


The American reckons he and Wazza, 26, could make some serious wonga.


“I am all about making money and I know my man Wayne is as well,” he said.



“The possibilities are endless. Restaurants in Europe, clothing stores, nightclubs. Making millions is cool, but making a billion is better, and Wayne knows it!”



And if Roo doesn’t fancy that, he could always just hang with Fiddy in Miami. “When Euro 2012 is over I’ve invited Wayne and his family to stay at my place in Miami,” he said.


“Nobody will bother them or take photos of them over here. My people will make sure of that.”

Miss Jojo Ft Kidumu

Wednesday, June 13, 2012

HII NDO NYUMBA ANAYO MILIKI MREMBO WEMA SEPETU YENYE THAMANI YA TSHS MILIONI 400...!!!

The lounge
Her Bedroom 
Chumbani kuna dressing table mbili, kiti cha massage na mini saloon chezeaaa
Ndani ya nyumba yake kuna sehemu maalum ya kufanyia interviews kama anavyo onekana hapo akiwa kwenye hilo eneo akifanyiwa interview na Zamaradi wa Clouds TV
Mini bar
Dinning room

Sehemu ya interview inavyo onekana. Pazuri eeee???
 Wema akiwa amechill nyumbani kwake


 I kind of like the animal print inspired interior deco & theme she's picked. Would have been a bit brighter though, that's just me thinking out loud but it's all good. Wema is living her dream as any other star would. Big up to her & her Manager Martin Kadinda who's making sure everything goes as planned for Wema.

BEAUTIFUL CRIB!!!